Tuesday, December 27, 2011

Ziara ya DRD (Director of Research and Development)

Mr Fidelis Myaka,(wa tatu kutoka kushoto) akimsikilza mtafiti mkuu Mr Bagarama juu ya  technologia ya urutubishaji ardhi kwa kutumia mimea jamii ya mikunnde(mukuna), alipotembelea kituo cha utafiti wa mazo ya kilimo Tumbi mkoani Tabora, kujione a kazi zinazofanyka kituono hapo pamoja na changamoto wanazokumbana nazo watafiti katika kufanya kazi zao.

No comments:

Post a Comment